#HABARI: Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kwenye Mkutano wa kampeni, amesema Chama hicho kimedhamiria kuendelea kuboresha sekta ya kilimo na mifugo kwa kuimarisha zoezi la utoaji mbegu ,mbolea na chanjo za ruzuku.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.