@hoseamchopa amezungumza na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, @ahmedally_ ambaye amesema wao wamempa majukumu ya ‘kumeneji’ benchi la ufundi la Simba na kama aliweza kusimamia Gaborone United, kwenye mechi dhidi ya Simba katika Mashindano yaliyo chini ya CAF kwa nini wanasimba wawe na hofu na leseni yake.

Ahmed Ally ameyajibu kwa sababu ya changamoto inayotajwa kuwa kocha huyo hana leseni ya UEFA Pro inayomwezesha kuwa Kocha Mkuu wa Simba atayeruhusiwa kusimama kama kocha mkuu kwenye benchi la ufundi kwenye mechi za Kimataifa.

Ahmed Ally amesema kuwa kocha huyo kwa rekodi zake za kuchukua ubingwa katika nchi 2 tofauti ni dhahiri kuwa kocha ambaye habahatishi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *