#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kagera liesema litaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva wanaoendesha magari yanayobeba abiria na mizigo, wanaosababisha ajali za barabarani kutokana na sababu ya uzembe ambazo ni pamoja na kufuta leseni zao za udereva ili wasiendelee kufanya kazi hiyo.
Hayo yamebanishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.