Kama umewahi kupewa zawadi ya kiwanja (ardhi) lakini hakuna hati rasmi ya kimaandishi, zawadi yako ni batili kisheria. Msikilize Mwanasheria Bashir Yakubu akifafanua zaidi.

#SheriaUpdates #AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *