Mgombea Udiwani wa kata ya Saranga iliyopo manispaa ya Ubungo, mhandisi John Sanga amewaahidi wapiga kura wa kata hiyo kuwa atahakikisha kero mbalimbali ambazo zinaikabili kata hiyo zinafika kwa mbunge kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi.

Mhandisi Sanga ambaye pia ni mhandisi wa visimbuzi kutoka Azam TV ametoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kampeni za jimbo la Kibamba ilipo kata hiyo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *