Mazungumzo ya usitishaji vita Gaza yafanyika Misri+++Wanaharakati wa Global Sumud Flotilla walalamikia kuteswa Israel+++Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha wananchi CUF nchini Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba ametaka mchakato wa uchaguzi mkuu kutoingiliwa na vyombo vya dola+++Waziri Mkuu Ufaransa ajiuzulu chini ya mwezi mmoja tangu alipoteuliwa