#HABARI: Mahakama Mkuu Masjala Kuu Dodoma imeahirisha kutoa hukumu katika kasi yenye shauri namba 24027/2025 aliyofunguliwa na Mgombea Urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Luhaga Mpina na chama hicho ambapo Mahakama imepanga Oktoba 10, 2025 majira ya saa nane mchana itatoa hukumu ya kesi hiyo.
Mahakama imefikia uamuzi huo umefukiwa baada ya baadhi ya vielelezo kuchelewa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.