#HABARI: Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amehitimisha kampeni zake mkoani Tabora kwa kufanya mkutano mkubwa Jimbo la Igalula, lililopo wilayani Uyui, ambapo amewaambia wananchi waliojitokeza kusikiliza sera, ahadi na uelekeo wa serikali watakayoichagua kuwa itajielekeza kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, miundombinu ya barabara pamoja na kusimimia sekta ya kilimo hasa zoezi la utoaji wa pembejeo za ruzuku.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *