#HABARI: Mgombea Urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Luhaga mpina tayari amefika Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kusikiliza shauri Lake walilolifungua pamoja na Chama cha ACT- Wazalendo wakipinga kuondolewa katika mchakato wa kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi huu Oktoba, 2025.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.