“Hata sasa tumeshafanikiwa sana kwenye eneo la Nishati safi ya kupikia, nimpongeze sana Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, alipoanza jambo hili la Nishati safi ya kupikia kalichukua kama jambo lake, akalipa msukumo akatuelekeza Watendaji tuanze kulifanyia kazi”Eng. Felchesmi Mramba – Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.