@hoseamchopa amezungumza na Gwiji wa soka na mmoja ya Watanzania wenye elimu ya juu katika soka akiwa na leseni ya juu ya ukocha (Pro License Conmebol) aliyoipata Amerika Kusini.

Kuhusu utofauti kati ya makocha wetu wazawa na wakigeni amesema makocha wetu wanakosa ujeuri wa weledi ambao unawakosesha misimamo dhidi ya viongozi na kushindwa kupatia wanachotaka ili kufanya kazi yao vyema tofauti na makocha wa kigeni.

Lakini pia akiunga na Ismail Aden Rage kwamba wasitegemee kozi za CAF pekee wajiongeze kwa kusoma zaidi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *