Mapema mwezi huu viongozi wa mataifa mbalimbali walikutana makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York kwenye mkutano wa 80 wa UN, huku agenda kuu ikiwa ni kuitambua Palestina kama Taifa huru. Mchakato huo umefikia wapi hadi sasa
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates