Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha UDP, Saumu Hussein Rashid ameahidi kwamba endapo atachaguliwa katika uchaguzi ujao, atatekeleza ilani ya chama chake kwa lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwainua kiuchumi.
Rashid amesema mpango huo ni sehemu ya sera zake za kukuza uchumi wa taifa na kuhakikisha kila mwananchi anapata fursa ya kufanikisha maisha bora.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi