Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameendelea na kampeni zake za kuchaguliwa kuiongoza Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Othman ameahidi kuondoa kodi na tozo zinazokwamisha bidhaa za chakula, hatua inayolenga kupunguza gharama za maisha kwa wananchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *