Wakazi wa Kanda ya Ziwa, hususan Mwanza, wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza mgombea urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, atakayewasili jijini humo kesho kuanza kampeni.

Wito huo umetolewa leo na mgombea ubunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, alipokutana na wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mwanza.

✍ Mwandishi Wetu
#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *