Zikiwa zimesalia siku 23 kuelekea uchaguzi mkuu, wadau wa siasa wanasema huu ndio wakati muhimu kwa wagombea kutumia mikakati madhubuti ya kuwashawishi wapiga kura.

Wameeleza kuwa kipindi hiki cha mwisho ni “dakika za lala salama” ambazo zinaweza kuamua mustakabali wa ushindi au kushindwa katika uchaguzi huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *