#HABAI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema heshima ya nchi inajengwa kupitia amani, utiifu wa sheria na uadilifu katika kutafuta haki, akisisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, unatakiwa kuwa wa amani na utulivu.

“Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo, vurugu au zogo, tutaheshimisha nchi yetu tukizingatia sheria zetu, tukitafuta haki na kila mtu akapata haki yake”

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *