#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Ephraim Mafuru amekabidhi tuzo ya shukurani kwa Bi. Khadija Zimbwe muandaaji wa vipindi vya mapishi Capital Television na ITV kwa kutoa mchango mkubwa katika kutangaza utalii wa chakula ndani na nje ya Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.