Katika kuelekea mwisho mwa muhula wa masomo kwa mwaka 2025, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi watakaodahiliwa katika shule ya sekondari ya Mnazi Mmoja iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wanafunzi wanatoa maelezo zaidi kuhusu ujenzi huo na furaha waliyonayo.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *