“Tupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha matumizi ya mita janja kwa watanzania wote.” – Meneja Msimamizi wa Mita wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Eng. Nyanda Mlagwa alipokuwa akieleza juhudi walizochokuwa katika kupunguza kiwango kikubwa cha upotevu wa umeme ikiwa ni pamoja na kuwabaini na kuwakabili wezi wa miundombinu.

✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #UTV108 #MorningTrumpet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *