#HABARI: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa mapaka kesho Oktoba 9, 2025, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kumhoji shahidi wa kwanza wa Jamhuri ACP George Bagyemu, baada ya leo mshtakiwa Tundu Lissu, kumaliza kumhoji maswali ya dodoso.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.