#HABARI: Meli mpya ya Mv. Mwanza, yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na mizigo yenye uzito wa tani 400 imeanza kufanya safari za matazamio za kubeba abiria na mizigo kati ya Bandari ya Mwanza na Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemombo kabla ya kuzinduliwa rasmi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *