#HABARI: Sekta binafsi nchini zimetakiwa kushirikiana na Serikali katika zoezi la utekelezaji wa sera ya watu wenye ulemavu kwa kujenga mindombinu rafiki na makundi hayo pamoja na kuboresha vifaa vya kujisomea na kujifunza katika sekta za elimu na afya ili kuleta uwiano sawa katika jamii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.