#HABARI: Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), limekinasa kiwanda cha uzalishaji mafuta kwa kutumia matairi (Sanfu Industrial Ltd) kilichopo Mwanambaya, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani, kikiiba umeme baada ya kuchezea mita na kubaini wizi wa zaidi ya ya shilingi milioni 200 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.

Hayo yamebainishwa na Afisa Usalama Mwandamizi wa Shirika hilo, Steven Maganga wakati wa operesheni ya ukaguzi wa wateja wanaotumia huduma ya miundombinu ya shirika Kanda ya Mashariki.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *