Katika wiki ya huduma kwa wateja tunapenda kukushukuru kwa ushirikiano wako. Mazuri mengi yanakuja, Timu yetu ya huduma kwa wateja ikishirikiana na mawakala wake ipo viwanja vya Mbagala Zakhem ikikuletea huduma zifuatazo.
• Mauzo ya Visimbuzi
• Huduma ya Azam Max
• Elimu ya kujihudumia
• Ufundi wa visimbuzi BURE
#AzamTVBurudaniKwaWote