Mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema huduma bora za afya, ajira kwa Watanzania, na maboresho ya miundombinu ni miongoni mwa ahadi watakazotekeleza endapo chama chao kitapata ridhaa ya Watanzania.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *