Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya wamewataka wakandarasi wanaojenga miradi ya afya jijini Dar es Salaam kuhakikisha wanakamilisha miradi hiyo ndani ya muda, ifikapo Disemba mwaka huu.

Wakizungumza wakati wa ukaguzi wa kituo cha afya cha Mchikichini wawili hao wamesisitiza kuwa wakandarasi watakaozembea utekelezaji wa mikataba yao wataingia katika kundi la watangulizi wao waliositishiwa mikataba kisheria kwa kufanya uzembe.

Imeandaliwa na @esterbella_malisa
Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *