“NIMEMFAHAMU DKT. SAMIA KATIKA VIPINDI VIGUMU”
“Simaanishi kwamba tupuuze majaribio ya kutikisa amani ya nchi yetu hata kidogo, ninachotaka kusema huyu kiongozi ni hazina ya uzoefu wa uongozi katika vipindi vigumu sana, na mimi sina mashaka…tusipuuze lakini tusiendekeze mambo ambayo yanaweza yakatutoa katika mstari wa kujengwa taifa letu…mimi nimepata heshima ya kumfahamu Dkt. Samia katika vipindi vigumu”- Dkt. Bashiru Ally.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania