Kuanzia leo Oktoba 09 mpaka Novemba 01, 2025, katika Migodi yetu ya Tegeta, Mbezi, Kigamboni na Chanika kisimhuzi cha Dish kitauzwa kwa bei ya ofa 95,000/= badala ya 99,000/=
Bei hiyo ni kwenye Migodi hiyo pekee.
Kama huna kisimbuzi fika sasa na ujipatie kisimbuzi chako.
#AzamTVBurudaniKwaWote