Mchambuzi wa Kimataifa, Pater Nusniyegira ameeleza mambo kadhaa ambayo serikali ya Ufaransa inapaswa kuyafanya ili kuleta utulivu wa kisiasa nchini humo.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na kusitisha mpango wa kuongeza umri wa kustaafu na kupitisha bajeti ya serikali ambayo haitaongeza kodi.

✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #MorningTrumpet #utv108

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *