“Tunahitaji kutafakari juu ya nafasi ya elimu bora kwa maendeleo ya rasilimali watu…ili uchumi wetu uweze kukua rasilimali watu ni kiungo kikubwa…elimu bora ni injini ya mabadiliko, bila elimu bora hatuwezi kuelekea tunakokwenda,”- Sr Prof. Chrispina Lekule – Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu RUCU.
#Iringa #KongamanoLaKitaaluma
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.