
Uturuki kufuatilia kwa karibu utekelezwaji wa kusitishwa mapigano Gaza: Rais Erdogan
Rais Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa Uturuki iko tayari kushiriki katika ujumbe wa mataifa mbalimbali kufuatilia kusitishwa kwa mapigano Gaza, akiahidi kuunga mkono juhudi za ujenzi upya.