Aliyekuwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema suala la aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cub…Aliyekuwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema suala la aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cub…

Aliyekuwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema suala la aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole liachiwe vyombo vya ulinzi na usalama vifanyie kazi.

Ole Sendeka amesema hayo leo Jumapili Oktoba 12,2025 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha ambako amesema kujadili jambo hilo ni sawa na kuingilia mamlaka.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *