“Dkt Samia Suluhu Hassan Hata ukimuangalia usoni hivi , hawezi kutenda dhambi  ya utekaji kutokana na moyo wake wa upendo aliona…“Dkt Samia Suluhu Hassan Hata ukimuangalia usoni hivi , hawezi kutenda dhambi ya utekaji kutokana na moyo wake wa upendo aliona…

“Dkt Samia Suluhu Hassan Hata ukimuangalia usoni hivi , hawezi kutenda dhambi ya utekaji kutokana na moyo wake wa upendo alionao na kwanini ateke mtu? Wakati anatafuta madaraka ya kuongoza nchi alafu ateke watu? Vitendo vya hovyo vya utekaji havina naafasi katika moyo, akili wala maono ya dkt Samia” Ole Sendeka

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *