Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema baadhi ya wafanyabiashara na wagombea waliokatwa katika chagu…Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema baadhi ya wafanyabiashara na wagombea waliokatwa katika chagu…

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka amesema baadhi ya wafanyabiashara na wagombea waliokatwa katika chaguzi za ndani ya chama hicho wamekuwa wakifadhiri kampeni chafu dhidi ya Serikali na chana.

Kwa mujibu wa Ole Sendeka ambaye pia amewahi kuwa msemaji wa CCM, wafanyabiashara hao Wana hasira baada ya kukosa zabuni mbalimbali huku magombea wakikasirika Kwa sababu ya kutoteuliwa.

Ole Sendeka amesema hayo leo Jumapili Oktoba 12,2025 jijini Arusha akizungumza na waandishi wa habari.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *