#HABARIPICHA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Kata ya Masumbwe, Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita waliofurika katika Mkutano wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 12, 2025.
#Tunatikisamia