Cape Verde yaandika historia kwa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa mara ya kwanza

Cape Verde iliichapa Eswatini mabao 3-0 siku ya Jumatatu na kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, hatua inayoiwezesha kushiriki mashindano hayo ya kimataifa kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya taifa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *