Chama cha NCCR Mageuzi katika kampeni zake za urais kimewasisitiza wapiga kura kutanguliza maslahi ya kuzingatiwa kwa amani ya nchi wakati huu wa kampeni, wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *