Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere kimeandaa kongamano la kuadhimisha miaka 26 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, huku masuala ya sayansi na teknolojia yakionekana kuchukua nafasi muhimu katika kuleta maendeleo na uongozi bora.

Sayansi na teknolojia zina nafasi gani katika kuendeleza ndoto za Mwalimu Nyerere? Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 katika chaneli ya #UTV

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *