#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM Oktoba 29, mwaka huu.

Amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika jimbo la Kakonko Mkoa wa Kigoma.

Paresso ni mmoja wa makada wa CCM ambao wenye timu ya kampeni kumtafutia kura mgombea urais wa chama hicho,Dkt.Samia Suluhu Hassan,wagombea ubunge na udiwani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *