#HABARI: Halmshauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imetia saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko jipya la Kwa Sadala, utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni kumi huku mkuu wa wilaya hiyo Bw. Hassan Bomboko, aliyeshuhudia zoezi la utiaji saini mkataba huo akimwagiza mkandarasi aliyepewa dhamana ya ujenzi huo, kuhakikisha anafanya kazi kwa kuzingatia thamani ya fedha zilizotolewa na kwa muda uliopangwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *