#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa kwa muda.
Kesi hiyo iliyooanza kusikilizwa mapema asubuhi ya leo, Tundu Lissu alikuwa akimuuliza maswali shahidi wa pili mawali mbalimbali ikiwemo elimu yake na namna alivyopanda nyadhifa mbambali za kipolisi.
Kesi hiyo itaendelea tena muda mchache ujao baada ya kuahirishwa kwa takriban saa 1.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania