#HABARI:Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Bi. Angellah Kairuki, ameendelea na Kampeni zake kwenye Kata ya kwembe na kuaahidi ujenzi wa shule mpya pamoja na kuboresha zilizopo ili kuwapatia wanafunzi elimu bora, Pamoja na kushughulikia changamoto za miundombinu ya barabara katika maeneo mbalimbali ndani ya jimbo hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *