“Inatakiwa kiongozi aliyechagua sera zile azisimamie, azieleze, wananchi wazielewe…sasa wako viongozi wanabababisha tu uongozi…wakati mwingine wananchi wanapata matatizo… yaleyale yanazungumzwa na chama hiki, yaleyale yanazungumzwa na chama kingine…wananchi wanachanganyikiwa..”-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa
#DAKIKA45
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.