Kombe la Shirikisho Afrika
Jumapili hii, Oktoba 19, Singida BS watakuwa jijini Bunjumbura katika dimba la Prince Louis Rwagasore wakicheza na Flambeau Du Centre.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni, na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Je, ni Singida BS ama Flambeau nani kuanza kuonja harufu ya hatua ya makundi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCC #SingidaBS