KUTOKA DUBAI: Balozi wa Tanzania katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Luteni Jenerali Mstaafu, Yacoub Mohamed ameitaka...

KUTOKA DUBAI: Balozi wa Tanzania katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Luteni Jenerali Mstaafu, Yacoub Mohamed ameitaka Taifa Stars kuhakikisha wanashinda mechi ya kesho ya kirafiki dhidi ya Iran ili iweze kupanda viwango vya FIFA.

Mechi hiyo ya kirafiki itapigwa saa 12:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#TaifaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *