KUTOKA ZANZIBAR: Tazama kikosi cha Azam FC, kilitua visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya KMKM.
Mchezo huo utapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni katika dimba la New Amaan Complex.
@kawambwajr_ anaeleza zaidi juu ya msafara huo.
#AzamFC