Makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na kundi la Hamas yaliyosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yamezaa matunda baada ya pande hizo mbili kubadilishana mateka kama inavyoelezwa katika taarifa hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi