MASHABIKI AZAM FC: Tazama ‘vimbwanga’ vya mashabiki wa Azam FC, wakitamba na timu yao kuelekea mechi ya mkondo wa kwanza ya Komb...

MASHABIKI AZAM FC: Tazama ‘vimbwanga’ vya mashabiki wa Azam FC, wakitamba na timu yao kuelekea mechi ya mkondo wa kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya KMKM.

Mashabiki hao wenye vituko wametoa wito kwa wenzao kuhakikisha wanavaa jezi sahaihi za timu hiyo ambapo kwa sasa kuna ofa kabambe.

Ukinunua jezi sahihi ya timu hiyo, unapewa na fulana (t’shirt) nyingine bure.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani #AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *