Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali.
Ni Jumamosi hii jijini Kigali, Rwanda utapata kushuhudia jumla ya mapambano 10.
Shughuli nzima itaanza saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
#PFLAfrika #Azamtvsports